Muhtasari wa misingi minne
Muhtasari wa misingi minne - (Kiswahili)
Kitabu hiki kimetafsiriwa na Shekh Shekh Muhamad Bin swaleh Al Uthaynin Allah amuhifadhi. Kitabu kimekusanya maswali na majibu kuhusu nguzo za Uislam.
Dini ya Uislamu Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe - (Kiswahili)
Dini ya Uislamu Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe
KUFICHUA YENYE UTATA - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazunguzia kufichua (kuyaweka wazi) mambo yenye utata
Uislamu Vyanzo vyake na misingi yake - (Kiswahili)
Mtunzi wa kitabu hiki ameelezea kuhusu Uislamu kwa ufupi kwa kutaja maana yake nguzo zake na vyanzo vyake vitukufu, pia ameeleza mambo yanayo takiwa kubainishwa katika hali ya kulingania dini ya Uislam.
Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo - (Kiswahili)
Ujumbe wa kweli wa Yesu Kristo.
BID´AH ZA JENEZA - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazunguzia bid’ah (uzushi) katika mambo ya jeneza
Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu? - (Kiswahili)
Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.
HII NDIYO ITIKADI YETU - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.
Huu ndio Uislamu - (Kiswahili)
Huu ndio Uislamu
Ni nani aliyeniumba? Na ni kwa nini aliniumba?Kila kitu kinaashiria kuwepo Muumba.
MAFUNSO A ANA pA CHIKHULUPILIRO - (Kiswahili)
MAFUNSO A ANA pA CHIKHULUPILIRO
