Ibrahim Abu Harb
                                    Nimhitimu  wa Kitivo cha Sharia,na anajihusisha na kufanya daawa kwanjia ya mitandao kwa njia ya mazungumzo na tovuti tofauti,ameanzisha tovuti nyingi za kiislam,ikiwemo : http://www.islam-guide.com na http://www.islamreligion.com,na nimwandaaji na mkusanyaji mashuhuri wa kitabu: "Mwongozo ulio fupishwa kwaajili ya kuufahamu uislam".Ambacho kimetafsiriwa  kwa lugha zaidi ya 45 na kuchapishwa kwake mamilioni.
                                
                                
