×
Mwana chuoni Shekh Muhammad Nasiruddin Al-Albani ni mmoja ya wanachuoni wa kiislam Mashuhuri katika zama za sasa na anazingatiwa Shekh Al-Albani nikatika wanachuoni wa Fani ya Hadithi mashuhuri wakipekee katika elimu ya Jarhi na Taadili (Kukosowa), Shekh Al-Albani ni Hoja katika Elimu ya Misingi ya Hadithi (Mustwalahu Alhadithi), walimzungumzia wanachuoni wa fani ya Elimu ya Hadithi kwamba Shekh Al-Albani alirudisha fani ya Hadithi katika zama za Ibn Hajar Al- Asqalan, na Alhafidh Ibn Kathir na wenginewe katika wanachuoni wa Fani ya Jarhi na Taadili. Jejea :Tovuti ya Imamu Al-Albani.http://www.alalbany.net