Mada hii inazungumzia:Utukufu wa muislam kuwa na lailaha Illa Allah katika maisha yake, na mambo mengi alio yafanya Allah kwasababu ya neon hilo, na kuna habari njema kuwa mwenye kufa bila kufanya ushirikina ataingia peponi.
Umuhimu Wa Tawheed - (Kiswahili)
Itikadi Dahihi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia itikadi sahihi ya mwislam ambayo anatakiwa kila muislam kuifuata,pia itikadi ambayo mwislam hatakiwa kuifuata kama itikadi za kishia na itikadi za kinaswara.
Uislam - (Kiswahili)
Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.
Uislam Ndio Mfumo Sahihi Wa Maisha - (Kiswahili)
Mada hii inaelezea namna jamii ilivyo vurugika na uislam ndio dini pekee ya kuweza kubadisha maadili.
Uhakika Wa Nabii Issa Katika Qura’n Na Injili - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.
Uislam nidini ya kati na kati - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uislam nidini ya kati nakati,yani nidini ya uadilifu, na namna uislam ulivyo piga vita ghuluu.mifano ya uadilifu wa mtume(s.a.w)na tofauti baina ya uislam na dini zingine potovu.
Msimamo Wa Uislam Kuhusu Kujiripua - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua.
Zama Za Fitna Na Jinsi Ya Kujiepusha - (Kiswahili)
• Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujitoa katika fitna,namambo aliyo tabiri Mtume s.a.w, ktk zama za mwisho. • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na ubaya wa fitna na shubuhati • Mada hii inazungumzia zama za fitna najinsi yakujiepusha na fitna,na Ubora Wa Subra Katika....
Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi - (Kiswahili)
Muhadhara huu unazungumzia kumpwekesha allah,na umuhimu wa muislam kuwa na itikadi sahihi,na makosa yanayo pingana na itikadi sahihi.
Umuhimu Wa Tawhidi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia umuhimu wa tamko la twuhiid (Lailaha Illa Allah),na lengo la kuumbwa kwetu, na aya zilizo bainisha lengo la kuumbwa kwetu,na sababu ya kutumwa mitume,na maana ya twaghuti,na malipo ya atakae kufa na tawhiidi ya (Lailaha Illa Allah).
Haki Za Binadamu Katika Uislam - (Kiswahili)
• Mada hii inazungumzia: Haki za binadamu katika uislam amezungumzia maana ya haki na umuhimu wa kujuwa haki za binadamu na ulazima wa kuzilinda, pia ametaja haki tano katika Quraan kwa ujumla. • Mda hii inazungumzia: maana ya binadamu na maana ya uislam, na ametaja mafundisho ya uislam kuhusu haki....
Misingi Ya Da’awa Ya Kweli - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.