×

Umegundua uzuri wake wa kweli - (Kiswahili)

Umegundua uzuri wake wa kweli

Maadui Wa Uislamu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mbinu wanazozitumia maadui wa Uislamu lengo ni kuuchafua uislam, lazima watu waisafishe dini ya Allah (S.w), imezungumzia pia ubaya wa kundi la khawarij na uharamu wa kuua au kumwaga damu bila haki.

FADHILA ALIZO PEWA MWANADAMU - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.

KUHESHIMIYANA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia Mipaka ya kuheshimiyana baina ya waislam.

Uislam Africa Mashariki - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uhusiano wa africa na uislam,na watu wakwanza walio leta uislam africa mashariki,na ukarimu wa watu wa afrika mashariki.