ZAID BASHIR
                                    Sheikh: Zaidi Bashiri 
ni mmoja katika walinganiaji wa kisunna mwenyeji wa Mombasa Kenya pia ni mwanafunzi wa Sheikh: Abdallah Al-farisi Mfasiri wa Qur’ani tukufu kwa lugha ya kiswahili, nimtowaji wa mawaidha kwanjia ya Ahlu sunna wal-jamaa.
                                
                                
