Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake
Uongozi Katika Uislam - (Kiswahili)
SHEMEJI NA MIPAKA YAKE YA KISHERIA NDANI YA UISLAMU - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia misingi na mipaka ya shemeji kataka sheria ya uislam
KUITUMIKIA DINI - (Kiswahili)
MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.
NDOTO NJEMA - (Kiswahili)
NDOTO NJEMA
Al-Hafiidh – Mhifadhi Aliyetakasika - (Kiswahili)
Al-Hafiidh – Mhifadhi Aliyetakasika
Khutba Ya Iddil: Lini Tutapata Ushindi - (Kiswahili)
Khutba hii inazungumzia lini tutapata ushindi na sababu za kupata ushindi,na mambo ambayo yanayo ziwiya ushindi.
DUA - (Kiswahili)
DUA
Nini wafanye waislam ikiwa kiongozi wao ni kafiri ? - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Kauli za wanachuoni kuhusu watawala ambao ni makafiri, na hukumu ya Mwanamke kuolewa na mtu wa bid’a.
Da’awa Ya Haqi Inapiga Vita Makundi Ya Kisiasa,Naubaguzi - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni: Da’awa ya haki inapiga vita makundi ya kisiasa, imeongelea pia aina za makundi na misingi ya da’awa ya kisnna.