×
Sharifu Abdul Adhwiim amezaliwa Kairo mwaka 1964. Alihitimu kutoka Kitivo cha Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Cairo, Idara ya Mawasiliano mwaka 1986.Alipata shahada ya udaktari(PHD) kutoka Canada mwaka 1997. na Nimwalim Msaidizi,Kitivo cha Uhandisi Idara ya Mawasiliano katika Chuo Kikuu cha Cairo, na amechukuliwa kwamuda na Chuo Kikuu cha Marekani,nimuasisi na niraisi wa Bodi ya Ujumbe Association kwa Uhisani.