×

Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Watu aina mbili ni watu wa fitina kubwa ni wajibu kwa Muislamu kujiepusha nao, pia imezungumzia umuhimu wa kuchukua tahadhari wakati wa ikukidhi haja.

Qauli yenye faida 09 Daraja za Dini - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 58 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mtume (s.a.w) alikuwa akileta tasbihi baada ya swala kwa mkono wake wa kulia, pia imeelezea Dua aliyokuwa akiomba Mtume (s.a.w).

TAWHIDI KATIKA HOTUBA ZA AL-MASJID AN-NABAWI - (Kiswahili)

TAWHIDI KATIKA HOTUBA ZA AL-MASJID AN-NABAWI

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Neema ya kuletwa Mtume (s.a.w) akiwa ni rehma kwa walimwengu wote na umuhimu wa kushukuru juu ya neema uislamu, pia imefafanua maana ya khutbatul-haja .

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kufaulu ni juu ya wanaomtii Allah na Mtume (s.a.w), pia imezungumzia umuhimu wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika kila jambo.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maana ya suna, na umuhimu wake na daraja zake, na kwamba Sunna zimegawanyika namna tofauti katika maamrisho na makatazo, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kusengenya na kugombanisha watu.

Dini ya Uislamu Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe - (Kiswahili)

Dini ya Uislamu Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 08 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kutimiza lengo la ndoa na umuhimu wa wanawake wa kiislamu kumuiga Mama Aisha (r.a), pia imezungumzia umuhimu wa subra kwa wana ndoa.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 07 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kufanya uadilifu ndani ya ndoa na namna Aisha (r.a) alivyojifakharisha kwa Mtume (s.a.w) wakati wa uhai wake na kabla ya kufa kwake (s.a.w), pia imezungumzia tukio la kufa Mtume (s.a.w).