×

Kumtaja Allah sana ni alama ya imani yenye nguvu, na kumtaja kidogo nialama ya udhaifu wa imani -10 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Ubora wa kumtaja Mwenyezi Mungu na faida zake katika maisha ya kila siu, na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Kuwafanyia uadui mawalii wa Mwenyezi Mungu -43 - (Kiswahili)

Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.

Udhaifu Na Ucha Mungu - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia namna ya kuutumia udhaifu katika kuupata ucha Mungu

The Disavowal Of Satan From People In The Day Of Judgement - (Kiswahili)

The Disavowal Of Satan From People In The Day Of Judgement

Neema Za Nyumba Na Tabia Za Majumbani - (Kiswahili)

1- Mada hii inazungumzia: Neema za nyumba na faidazake, nakwamba nyumba niukamilifu wa neema za Allah kwa waja wake, pia imezungumzia baadhi ya faida za nyumba kama vile makazi, stara, kulala, ibada ya swala na ibada ya ndoa. 2- Mada hii inazungumzia: Nyumba ni sehem ya kumstiri mwanamke na kumlinda....

Mvurugiko Wa Madili Katika Nyumba Za Waislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia mmomonyoko na mvurugiko wa maadili katika nyumba za waislam, na uwajibu wa kujifunza kwa mtume alayhi salam.

Uongozi Katika Uislam - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uongozi katika uislam,na umuhimu wa uongozi,na matatizo ya misikitini na tasisi za kislam,na dalili ambazo zimekuja kuzungumzia uongozi,mifano hai ya uongozi na umuhimu wake

TAKBIRA - (Kiswahili)

TAKBIRA

Hukumu Za Jeneza - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia sherehe ya kitabu cha shekh albani,na muongozo kamili wa jeneza kuanzia ugonjwa na kufariki dunia,na kuoshwa na kuvikwa sanda,na kuswalia, na kuzikwa.

Uislamu ni dini ya Mitume wa Mwenyezi Mungu - (Kiswahili)

Uislamu ni dini ya Mitume wa Mwenyezi Mungu

Ni nani aliyeniumba? Na ni kwa nini aliniumba?Kila kitu kinaashiria kuwepo Muumba. - (Kiswahili)

Ni nani aliyeniumba? Na ni kwa nini aliniumba?Kila kitu kinaashiria kuwepo Muumba.