×

Umuhimu Wa Imani 05 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Masharti ya kukubaliwa matendo na imefafanua maana ya kufanya jambo kwa ajili ya Allah, pia imezungumzi umuhimu wa kutafuta elimu kwa ajili ya Allah na kuunufaisha umma wa kiislamu.

Umuhimu Wa Imani 04 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Uzinduo kwa umma wa kiislamu ili wawajue maadui wa Uislamu na waislamu, pia imefafanua baina ya imani ya kweli na imani mbovu, na kwamba kwa kushikamana na Qur’an imani inakua thabiti.

Umuhimu Wa Imani 03 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ukubwa wa imani waliyoipata wanawake wa kianswari baada ya kushuka Aya za hijabu, pia imezungumzia mfumo na mwongozo wa Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w).

Umuhimu Wa Imani 02 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Kuipenda dunia na kuiacha Qur’an tukufu ni katika sababu za kudhoofika umma wa kiislam katika jamii, pia imezungumzia namna gani Maswahaba walivyokuwa wakifundishwa Qur’an na Mtume (s.a.w).

Umuhimu Wa Imani 01 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa imani na sababu za kudhoofika umma wa kiislamu, pia imefafanua maana ya kukihama kitabu cha Mwenyezi Mungu na imezungumzia uzito na thamani ya Qur’an tukufu.

Misingi Ya Da’awa Ya Kweli - (Kiswahili)

Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.

Uchawi - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.

Muhtasari wa misingi minne - (Kiswahili)

Muhtasari wa misingi minne

Fataawa Arkanul Islam (Maswali Na Majibu Kuhusu Nguzo Za Uislam) - (Kiswahili)

Kitabu hiki kimetafsiriwa na Shekh Shekh Muhamad Bin swaleh Al Uthaynin Allah amuhifadhi. Kitabu kimekusanya maswali na majibu kuhusu nguzo za Uislam.

Qauli yenye faida 13 Nguzo za Uislam - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.

Qauli yenye faida 09 Daraja za Dini - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.

Dini ya Uislamu Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe - (Kiswahili)

Dini ya Uislamu Inatangazwa kupitia Dalili zitokanazo na Qur'ani na Sunnah za Mbora wa Viumbe