×

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 24 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Adabu za kumtembelea ndugu katika Uislamu na namna ya kumuandalia mgeni chakula, pia imezungumzia umuhimu wa mzazi kuwalea watoto katika malezi bora ya kiislamu.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 28 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu na ubora kwa mwanamke wa kiislamu kuswalia nyumbani, pia imezungumzia fadhila anazopata mtu anapokaa msikitini akisubiri kuswali.

Qauli yenye faida 16 Maana ya Kumuamini Allah - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya Imani na mambo ambayo yanaingia katika Imani, na ameeleza kuwa Imani inazidi na kupungua.

Kuamini Qadari Ni Sababu Ya Kupata Sa’ada - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuamini Qadari na kwamba kila kitu anapanga Allah, pia imezunguzia muislam anatakiwa kuishi na watu vizuri pamoja kutosheka na kichache anachopata.

HII NDIYO ITIKADI YETU - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 23 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Sababu ya Qabil kumua ndugu yake Habil na namna alivyomzika, pia imezungumzia hatari ya dhambi ya kuua na umuhimu kwa muislamu kujutia madhambi.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 09 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mafundisho ya Mtume (s.a.w) katika kufurahishana na kusaidiana mke na mume ndani ya ndoa, pia imezungumzia njia sahihi za kumaliza ugomvi baina ya mume na mke. Kisha ametaja faida za mswaki.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 15 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika kumtembelea mgonjwa, na ubora wake pa amezungumzia hali ya waislam katika zama hizi, na kwamba kumtembelea mgonjwa ni ibada ilio hamwa.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mahala atakapo pumzika Mtume (s.a.w) Peponi baada ya kufa kwake, pia imefafanunua na kutafsiri maajabu yote aliyo kutana nayo Mtume (s.a.w) na Malaika.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 16 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya kumtembelea mgonjwa au ndugu katika imani na namna Maswahaba wa Mtume (s.a.w) walivyo dumu na Sunna hii, pia imezungumzia fadhila na malipo yake.

Makasisi Waingia Uislamu - (Kiswahili)

-

MASWALI 60 KWA WAKRISTO - (Kiswahili)

No Description