×

Muhutasari wenye faida kwa muislamu mpya. - (Kiswahili)

Muhutasari wenye faida kwa muislamu mpya.

TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU - (Kiswahili)

TAFSIRI YA SHEMU YA KUMI YA MWISHO YA QUR’ANI TUKUFU

Namna ya swala ya mtume (s.a.w). na Namna ya kutawadha - (Kiswahili)

Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume (s.a.w). na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume (s.a.w) katika swala na udhu.

Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu - (Kiswahili)

Yaliyomo: • Dini Ya Kweli Ya Mwenyezi Mungu Ni Ipi? • Jina La Dini • Mwenyezi Mungu Na Uumbaji • Ujumbe Wa Dini Za Uwongo • Dini Ya Mwenyezi Mungu Ni Ya Ulimwengu Mzima • Kumtambua Mwenyezi Mungu. • Dalili Za Mwenyezi Mungu. • Hitimisho

Uislam - (Kiswahili)

Muhadhara huu unazungumzia uislam,historia ya uislam. na ujumbe wa mwanadamu,na dini ya haki kwa allah,na chanzo cha kukengeuka mwanadamu,na wito wa uislam kwa ulimwengu.

MUHAMMAD ALLAH AMREHEMA NI MTUME WA UISLAMU - (Kiswahili)

MUHAMMAD ALLAH AMREHEMA NI MTUME WA UISLAMU

Ujumbe mmoja - (Kiswahili)

Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.

Kitabu cha Tauheed - (Kiswahili)

Kitabu cha Tauheed

Uhakika Wa Nabii Issa Katika Qura’n Na Injili - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.

Uislam Ndio Mfumo Sahihi Wa Maisha - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea namna jamii ilivyo vurugika na uislam ndio dini pekee ya kuweza kubadisha maadili.