×

Qauli yenye faida 02 Umuhimu wa Tawhid na Nguzo zake - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhimu wa tawhid na nguzo zake

Qauli yenye faida 01 Maana ya Tawhidi - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea Maana ya Tawhiid na Ibada kisha ameelezea wigo wa Ibada za qauli na vitendo.

Acha Athari Njema 10 - (Kiswahili)

Mada hii Inaelezea kuhusu umuhimu wa kufuata walio tutngulia kwa wema, ili wajifunze watoto wetu kutokana na matendo yetu mema.

SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 4 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea msingi wa nne kwamba washirikina wa zama hizi wana shirki kubwa kuliko wa zamani.

SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 3 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea msingi wa tatu ambao ni hali ya watu wakati wa kutumwa mtume alayhi salaam.

SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 2 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Msingi wa kwanza kwamba kuamini Rububiyah hakumfanyi mtu kuwa Muislam, na wa pili, kwamba Maquraishi walikuwa wakiabudu masanamu ili yawakuribishe kwa Allah.

SHERHE QAWA’ID AL ARBA’A 1 - (Kiswahili)

Mada hii inaelezea Misingi Minne ya Imamu Muhamad bin Abdul Wahab, Allah amrehemu, amelezea Umuhimu wa Tawhid na faida zake na umuhimu wa kusoma misingi yake.

Umuhimu Wa Imani 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuhamasisha watu katika kutafuta elimu, pia imezungumzia chuki za makafiri juu ya waislamu na tofauti kati ya dola ya kiislamu na dola isiyokuwa ya kiislamu.

Umuhimu Wa Imani 13 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Utofauti na mgawanyiko wa elimu katika jamii na kwamba kuna elimu ya lazima na elimu isiyo ya lazima, pia imezungumzia umuhimu wa elimu ya dini ambayo ndiyo elimu ya faradhi.

Umuhimu Wa Imani 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Maswali na majibu, na imefafanua uharamu wa kufanya biashara ya nguruwe na kutumia chumo linalopatikana katika biashara hiyo, pia imezungumzia hatari ya kula haramu na kwamba mwnye kula haramu hata dua yake haijibiwi.

Umuhimu Wa Imani 11 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Hatari ya kuzua jambo katika dini ya Mwenyezi Mungu na umuhimu wa kufuata Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w), pia imezungumzia uwajibu wa kutafuta elimu kwa kila Muislamu.

Umuhimu Wa Imani 10 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuwafundisha watoto Qur’an na Sunna za Mtume (s.a.w) na maadili ya kiislamu, pia imezungumzia ubora wa kumuiga Mtume (s.a.w) katika matendo, na hatari ya kuiga tabia za kimagharibi.