Mada hizi zinaongelea Mambo mbalimbali yaliyo katazwa katika uislam na imewekwa kwa njia ya maandishi.
Kuwafanyia uadui mawalii wa Mwenyezi Mungu -43 - (Kiswahili)
Nani alie ni umba ? Na kwa nini ? - (Kiswahili)
Nani alie ni umba ? Na kwa nini ?. Maudhui zilizondani: 1. Maana ya Uisilamu. 2. Misingi mikuu ya Uisilamu: - Kumuamini Allah Muumba wa kila kitu. - Kuamini Mitume wote. - Kuamini Vitabu vitukufu vyote. - Kuamini Malaika. - Kuamini Siku ya mwisho. - Kuamini Kadari ya heri na....
Umegundua uzuri wake wa kweli - (Kiswahili)
Umegundua uzuri wake wa kweli
FADHILA ALIZO PEWA MWANADAMU - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni: Fadhila alizopewa mwanadamu, na kuitumia vizuri neema ya macho na ulimi.
KUHESHIMIYANA - (Kiswahili)
Mada hii inazunguzia Mipaka ya kuheshimiyana baina ya waislam.
KUITUMIKIA DINI - (Kiswahili)
MADA HII INAZUNGUMZIA UWAJIBU NA UBORA WA KUITUMIKIA DINI NA MALIPO ATAKAYO PATA ATAKAE KUFA KATIKA KUITUMIKIA DINI YA UISLAM.
Uislam Africa Mashariki - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uhusiano wa africa na uislam,na watu wakwanza walio leta uislam africa mashariki,na ukarimu wa watu wa afrika mashariki.