×

Uhakika Wa Nabii Issa Katika Qura’n Na Injili - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia uhakika wa Nabii Issa ndani ya Qur’an tukufu, na katika Biblia, na sababu ya kupandishwa Mbinguni.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 32 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mahala atakapo pumzika Mtume (s.a.w) Peponi baada ya kufa kwake, pia imefafanunua na kutafsiri maajabu yote aliyo kutana nayo Mtume (s.a.w) na Malaika.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 31 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika hadithi ya ndoto na maajabu aliyoyaona akiwa na Malaika, pia imezungumzia nyumba aliyokabidhiwa Mtume (s.a.w) na Malaika baada ya safari ndefu.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 30 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kuswali swala ya jamaa nyuma ya takbira ya Imamu kwa siku arubaini, pia imezungumzia swafu iliyo bora kwa wanaume.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake29 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya malipo ya mtu mwenye kwenda mapema msikitini, pia imezungumzia faidha ya swala ya jamaa na umuhimu wa kukumbuka neema za Allah kabla ya kuulizwa siku ya Qiyama.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 27 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya ubora na thawabu anazopata mtu anapoenda msikitini, pia imezunguzia hatari ya mwanaume wa kiislamu kuswalia nyumbani badala ya msikitini.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 18 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: ukamilifu wa mada ilio pita ikizungumzia maana ya kumswalia mtume (s.a.w) kisha amebainisha namna ya kumswalia mtume, na hatari ya uzushi katika dini.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 14 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika namna ya kupiga mswaki, pia imezungumzia umuhimu wa kufuata mwenendo wa Mtume (s.a.w), na ameongelea uwajibu wa usafi na ameendelea kutaja nyakati za kupiga mswaki.

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 12 - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kufanya matendo mema kwa siri bila ya kujionyesha mbele za watu, nakwamba ibada za siri nisababu ya kujibiwa dua ikiwa ni kwa ikhlas.