Mada hii inazungumzia: Kuipenda dunia na kuiacha Qur’an tukufu ni katika sababu za kudhoofika umma wa kiislam katika jamii, pia imezungumzia namna gani Maswahaba walivyokuwa wakifundishwa Qur’an na Mtume (s.a.w).
Umuhimu Wa Imani 02 - (Kiswahili)
Umuhimu Wa Imani 01 - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa imani na sababu za kudhoofika umma wa kiislamu, pia imefafanua maana ya kukihama kitabu cha Mwenyezi Mungu na imezungumzia uzito na thamani ya Qur’an tukufu.
Misingi Ya Da’awa Ya Kweli - (Kiswahili)
Anuwani ya mada hii ni Misingi ya da’awa ya kweli, pia inazungumzia: Umuhimu wa elimu na maoni ya watu katika kutengeneza umma wa kiislam.
Uchawi - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia uchawi, hukumu yake na madhara yake na uchafu wa mchawi na adhabu zake.
Muhtasari wa misingi minne - (Kiswahili)
Muhtasari wa misingi minne
Kitabu hiki kimetafsiriwa na Shekh Shekh Muhamad Bin swaleh Al Uthaynin Allah amuhifadhi. Kitabu kimekusanya maswali na majibu kuhusu nguzo za Uislam.
Qauli yenye faida 13 Nguzo za Uislam - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea kuhusu nguzo za Uislam na mpangilio wake kutokana na dalili zilizo pokelewa katika kubainisha nguzo hizo, kisha akabainisha ubora wa swala na cheo chake na hukumu ya alie kufa na alikuwa haswali.
Qauli yenye faida 09 Daraja za Dini - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea kuhusu Daraja za dini na maana yake kisha ameeleza maana ya Uislam.
Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake.
Qauli yenye faida 16 Maana ya Kumuamini Allah - (Kiswahili)
Mada hii Inaelezea kuhusu maana ya Imani na mambo ambayo yanaingia katika Imani, na ameeleza kuwa Imani inazidi na kupungua.
Kuamini Qadari Ni Sababu Ya Kupata Sa’ada - (Kiswahili)
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kuamini Qadari na kwamba kila kitu anapanga Allah, pia imezunguzia muislam anatakiwa kuishi na watu vizuri pamoja kutosheka na kichache anachopata.
HII NDIYO ITIKADI YETU - (Kiswahili)
Kitabu hiki kinazungumzia: Itikadi sahihi ya muislam, kinazungumzia pia imani ya kweli ni kumuamini Allah na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na matunda yake, na malipo ya wenye kumpwekesha Mweyezi Mungu.